Saturday, 3 March 2018

Kumjua Mungu




Kumjua Mungu ni hitaji LA muhimu kwa kila mtu katika ulimwengu huu, kwani huwezi mfata usiyemjua,
Ila mafungu haya yakusaidie Ayub 22:21 inasema , mjue sana Mungu ili uwe na Amani ...."
Pia Yohana 17:3imeandikwa , na uzima was milele ndio huu wa kujue we we, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.
Mpaka hapo waweza pata picha juu ya umuhimu wa kumjua Mungu
Swali litakuwa je, nitamjuaje?
Fatana nasi katika vipindi na msomo haya kila Siku katika app ya mjue sana Mungu kutoka play store.

No comments:

Post a Comment